~Let’s Learn 4R (Reduce, Reuse, Recycle and Respect) concepts based on “Mottainai” philosophy
Supported by Japan Fund for Global Environment
(※”Mottainai” is a Japanese term conveying a sense of regret concerning waste
LBI opens the Environment seminar for encouraging community people to promote sustainable environment movement in Korogocho and Community Environment Workers (CEWs) to take initiative of green actions. This time focus on the measure to promote sustainable waste management and organic potable agriculture. Let’s song a “Mottainai” song together!!
Date & Time: 10:00 to 13:00, 14th(Sat) November, 2015
Place : Korogocho Community Center
Lecturer: NGO African Children Education Fund
※After the seminar, LBI will conduct clean-up action around
Korogocho community center. Let’s join it!
(Swahili)
Mazingira ⑨ Warsha ya Kuwezesha
~Tujifunze R tatu (3R) kupunnguza, kutumia tena, kutengeneza upya
( Jina Mottainai lilitumiwa sana na mwenda zake WANGARI MATHAAI wakati wake kuelimisha watu kuhusu kutunza mazingira )
Imefadhiliwa na serikali ya japan kupitia idara ya mazingira
(※”Mottainai” ni jina la kijapan lenye maana ya kufadhaika na takataka)
LBI wametunga washa wa mazingira ya kuhimiza wanaivjiji kuinua na kuendelesha mwito wa mazingira hapa Korogocho.
Tujifunze kubadirisha taka ya kuoza kupitia doo (kijapani huu mtido wajulikana kama takakura) kuunda borea. Tungane kubadirisha Korogosho.
Tarehe: 14th/11/2015 saa nne hadi saa saba
Pahali pa warsha Korogocho Community Center
Mukufunzi mweshimiwa kutoka shirika la ACEF (African Children Education Fund))
※Baada ya warsha tutafanya usafi hapa karibu na uwanja